NGARA FDC IT SOLUTIONS Kwa huduma zote zinazohusika na tehama kama vile: Network programming, data entry, data managements, Data security, network installation, software installation, computer hardware maintenance, na shughuli zote zinazohhusu tehama, ama kwa tatizo, ushauri au kwa kujifunza karibuni, Chuo cha maendeleo ya Wananchi Ngara kitengo cha Tehama utapata msaada.